Jux – Bado Lyrics

Verse:1
Nakumbuka sura yako
Nakumbuka jina lako
Nakumbuka tabasam
Uzuri wa pendo lako
Siwezi kusahau
Ila naulaumu moyo (Mmmh)
Kukupenda too much
Ndo kinachoniumiza
Si unajua mazoea
Yana maumivu

Bridge Chorus:
Nimetupa ndoano aaah (La La La)
Nimeambulia patupu (La La La)
Inaniumiza bado
Ila nitamove on bado
Nitakusahau baby oo
Oooh
Homa si homa baby (La La La)
Hata nikilewa pombe hainiingi (La La La)
Naondoa stress bado
Ile kikomando
Nami nitapendwa bado
Bado badoo

Chorus:
Baby we! Nikipenda mtu
Huwa napenda kweli, Na nabaki mtupu
Nasahau mapenzi, Yanamaumivu
Ooh siachi tu
Baby we! Nikipenda mtu
Huwa napenda kweli, Na nabaki mtupu
Nasahau mapenzi, Yanamaumivu
Ooh siachi tu

Verse: 2
Mmmmh! Yeaah!
Mapenzi kama maji (Babe)
Usipokunywa utaoga
Usitukane mamba
Hujavuka mto, Jahazi likazama
Baby wewe
Chungu kimoja (Aah uh)
Wapishi ni wengi (Aah uh)
Chakula kikiiva
Kinaliwa na wengi
Baby baby baby
Nitapata mwingine aaah

Bridge Chorus:
Nimetupa ndoano aaah (La La La)
Nimeambulia patupu (La La La)
Inaniumiza bado
Ila nitamove on bado
Nitakusahau baby oo
Oooh
Homa si homa baby (La La La)
Hata nikilewa pombe hainiingi (La La La)
Naondoa stress bado
Ile kikomando
Nami nitapendwa bado
Bado badoo

Chorus:
Baby we! (Baby) Nikipenda mtu (Nikipenda)
Huwa napenda kweli, Na nabaki mtupu (Eeeh)
Nasahau mapenzi, Yanamaumivu
Ooh siachi tu (Siachi, Mmh siachi yee)
Baby we! (Ooh) Nikipenda mtu (Ooooh Mama)
Huwa napenda kweli, Na nabaki mtupu
Nasahau mapenzi, Yanamaumivu
Ooh siachi tu (Siachi, Siachi yee)

Outro:
Siachi
Siachi tu
Mapenzi siachi
Siachi
Siachi