MATATA – NGATA (Pi-Pi-Pi, Po-Po-Po) Lyrics

Chorus

Si ngata iko ju
Si iko juu
Fuck dat juu najua kujigas
Faster na na drive na reverse
Si ngata iko juu
Si iko juu
Master Niko set we relax
Jaza na uongeze hata tax
Pipipi Popopo
Pipipi Popopo
I’m on the highway x4

Verse 1
Bless Sunday Fuck monday
Titie Tuesday Sipendi Wednesday
Thirsty Thursday Friday ni clande
Sato Niko kwa highway It’s a boys night out
We out and about Tuko loaded no doubt
Na mapeng kama ten hapa huwezi pata drought
Hii kanairo kama kingstone Pasa pasa pasa pasa
kanyaga kaless Eka minimal pressure
In my head ni pesa Her head, pleasure
Tell mi wifede Leo ni kaa ntakesha
Hii crib iko uuz Na madem wako loose
Kuna wenye wanachoma Kila corner kuna booze
Kuna wenye wanajudge but ni life tulichoose
Na madem walitekwa now they paying they dues

Chorus
Si ngata iko ju
Si iko juu
Fuck dat juu najua kujigas
Faster na na drive na reverse
Si ngata iko juu
Si iko juu
Master Niko set we relax
Jaza na uongeze hata tax
Pipipi
Popopo
Pipipi
Popopo
I’m on the highway x4

Verse 2

I know they dont care am not new to that man
kila mahali natembea wana shuku ras ehh!
unkept hair kama buju banton mama used to say that i look like a juju man ehh!
na nikitokea wanachuchuma ehhh! huyo ni nani hawajui man
so mbona karao kunionea kuni vuruga kunichomea ju ndai yangu inanuka ngwaiiii
na toa ki loud washa man nina choma ka bob marleys bastard son
ahhh! ahhh! dont judge me wacha man
ka uradi imekubali sema mashallah
kijana unaweka jam na gari ya loan
window umeshukisha down unanipigia horn
bei ya ngata iko high unadhania gold
benz logo toyota KRA wake on wako on wako on

Chorus
Si ngata iko ju Si iko juu
Fuck dat juu najua kujigas
Faster na na drive na reverse

Si ngata iko juu Si iko juu
Master Niko set we relax
Jaza na uongeze hata tax
Pipipi Popopo
Pipipi Popopo
I’m on the highway x4
Kanyagia uhh ahhh
uhhh ahhh ka less ka less x2